on air with millardayo

VIDEO: ‘Habari iliyoninyima furaha ni ile ya mambo ya hirizi’ :- Chege

on

Chege ni miongoni mwa wakali wenye majina yao ndani ya bongofleva, hapa alipata time na kufanya interview na Millard Ayo ambapo kazungumzia habari ambazo ziliwahi kuandikwa na kumnyima furaha maishani mwake, Chege amesema………

>>>’habari iliyoninyima ni ile ya hirizi kwa sababu kitu kilichotokea  ni msiba lakini katika msiba mtu anaongea utani ambao sio mzuri, mtu anaamua kuandika kwa kuhisi tu’

>>>‘nilikuwa nimefunga kitamba upande wa kushoto kwa sababu ya msiba wa Mez B, msiba umetokeea na tulikuwa na show usiku huo kwa hiyo ilibidi twende kwa stlye hiyo, tulivaa t-shirt zinazofanana mimi na Temba na tulifunga vitamba vyeusi, mtu kakurupuka kaandika kitu ambacho sio kizuri sikupenda kwa kweli’

Unaweza kuangalia video hii hapa chini 

ULIKOSA CHEGE ALIPOONGELEA KILICHOTOKEA BAADA YA KUKUTANA NA JUMA NATURE UGOMVI WA UHURU NA SWEETY SWEETY? UNAWEZA KUANGALIA VIDEO HII HAPA CHINI

Unataka kutumiwa MSG za habari zote kubwa kutoka kwa Millard Ayo? ukiwa na line ya tiGO andika ‘AYO‘ tuma kwenda 15510, msg utayotumiwa jibu OK ili uanze kupokea matukio yote kwa sms, pia ungana na Millard Ayo kwenye Twitter, FB, Instagram na YouTUBE wa kubonyeza hapa >>> INSTAGRAM TWITTER, FB, INSTAGRAM

Soma na hizi

Tupia Comments