Mix

Umesikia Chege kaoa? Kayaongea haya kwenye U-HEARD leo May 31, 2017

By

on

U-heard ya May 31, 2017 kupitia XXL ya Clouds FM imetufikisha kwa staa wa Bongofleva kutoka Wanaume Family Chege ambaye anadaiwa kufunga ndoa kimya kimya katika Mwezi Mtukufu wa Ramadhan huku akimpost picha ya mwanamke huyo kwenye mitandao ya kijamii.

Soudy Brown amepiga story na Chege ili kupata ukweli kutoka kwake ambapo majibu yake yalikuwa:>>>“Soudy kuna nini tena mbona simu za Mwezi Mtumkufu? Tumefunga bwana hayo mambo tusifanye, nisamehe. Inawezekana nimeoa kwani nakatazwa na mtu kuoa? Asante, nashukuru.” – Chege.

Chameleone, Bobi Wine waeleza walivyoguswa na kifo cha Ivan

 

Soma na hizi

Tupia Comments