Michezo

Pichaz 5 za Francis Cheka alivyopeleka mkanda wake wa ubingwa kwa waziri Nape

on

March 4 waziri wa habari, utamaduni, sanaa na michezo Nape Nnauye kwa pamoja na bondia mtanzania Francis Cheka walifanya mkutano na waandishi wa habari katika ukumbi wa mikutano wizarani na Cheka kuwashukuru watanzania na serikali kwa sapoti anayopata.

DSC_8128

Cheka na Waziri Nape wakiongea na waandishi wa habari

Baada ya Cheka kushukuru na kumkabidhi Mh Nape mkanda wake wa Ubingwa aliompiga bondia wa Serbia Geard Ajetovic katika viwanja vya Leaders, mwishoni mwa mwezi February, Mh Nape alimkabidhi cheti Francis Cheka kwa niaba ya wizara.

DSC_8138

Cheka na Waziri Nape baada ya kupokea mkanda

DSC_8142

Cheka akikabidhiwa cheti na Waziri Nape

DSC_8130

Francis Cheka mwenye cheti na waziri Nape na mdogo wa mdogo wake Francis anaitwa Cosmas Cheka pamoja na Rais wa TPBO Yassin Abdallah Ostadhi nyuma ya Cheka na Nape

Unataka kutumiwa MSG za habari zote kubwa kutoka kwa Millard Ayo? ukiwa na line ya tiGO andika AYO‘ tuma kwenda 15510, msg utayotumiwa jibu OK ili uanze kupokea matukio yote kwa sms, pia ungana na Millard Ayo kwenye Twitter, FB, Instagram na YouTUBE wa kubonyeza hapa >>> INSTAGRAM TWITTER FB YOUTUBE

Tupia Comments