Michezo

Full Time ya Chelsea vs Norwich May 4 2014

on

Screen Shot 2014-05-04 at 8.06.37 PMGame nyingine ya leo ilikua ni Chelsea vs Norwich ambazo zote zimetoka sare ya 0-0 ambapo kocha Jose Mourinho anasema kikosi chake kilikua slow kwenye kipindi cha kwanza ila hali ilibadilika kwenye kipindi cha pili lakini haikusaidia kupata goli lolote.
Screen Shot 2014-05-04 at 8.06.48 PM

Tupia Comments