AyoTV

Cheki jinsi wachezaji wa Chelsea wakiicheza Tupogo ya Ommy Dimpoz.

By

on

chelseaMuziki wa Bongo Fleva bado unaonekana ukiendelea kupata nafasi utazidi kuonyesha maajabu zaidi kwa mifano hai inayoonekana kupitia mataifa mbalimbali ambayo hayana utaratibu wa kuongea kiswahili au pengine hata kutofahamu tu lugha hii inayopatikana Afrika Mashariki na zaidi Tanzania.

Kuna video ilishawahi kutoka ikimuonyesha Mzungu akiimba wimbo wa Diamond Platnumz ule wa Mbagala na miezi michache pia tulimuona mtoto wa kizungu akiimba wimbo wa Young killer Mrs.Superstar ambao alikiri kumpenda Young Killer na wimbo wake.

Hiki ni kipande cha video kikimuonyesha Mtanzania anayekipiga timu ya Chelsea Adam Nditi akiwa kawarekodi wachezaji wenziake  wa Chelsea wakiwa wanacheza wimbo wa Ommy Dimpoz unaoendelea kuhit mpaka sasa Tanzania wa Tupogo.

Bonyeza play kutazama video hiyo.

Video by:shaffihdauda.com

Tupia Comments