Michezo

EPL: Chelsea bado moto – hiki ndicho walichowafanya Aston Villa leo

on

1411830758819_wps_6_Oscar_of_Chelsea_celebratWiki moja baada ya kushindwa kupata ushindi kwa mara ya kwanza msimu huu kwenye ligi kuu ya England, viongozi wa EPL klabu ya Chelsea leo waliwakaribisha Aston Villa katika uwanja wa Stamford Bridge.

Matokeo ya mchezo huo ni ushindi wa kwa vijana wa Jose Mourinho dhidi ya Villa ambao walipoteza mechi yao ya wiki iliyopita waliyocheza dhidi ya Arsenal.

Magoli ya Oscar, Willian na Diego Costa yalitosha kuwapa Chelsea ushindi wa magoli 3-0 na hivyo kuendelea kushika usukani mwa msimamo wa ligi hiyo ya England.

TIMU ZILIPANGWA HIVI

CHELSEA 4-2-3-1: Courtois 6.5; Ivanovic 7, Cahill 5.5, Terry 6, Azpilicueta 6; Fabregas 7, Matic 7; Willian 7.5, Oscar 7 (Mikel 77), Hazard 6 (Schurrle 68, 6); Costa 7 (Remy 81).

Subs not used: Cech, Luis, Zouma, Drogba, Remy.

Bookings: Cahill, Fabregas.

Manager: Jose Mourinho 7.

ASTON VILLA 4-5-1: Guzan 6.5; Hutton 6, Senderos 6, Baker 6, Cissokho 6; Richardson 6 (Bent 69, 5), Cleverley 6.5, Westwood 6.5, Delph 7, Weimann 5 (N’Zogbia 69, 5); Agbolahor 7.

Subs not used: Given, Clark, Bacuna, Sanchez, Grealish.

Bookings: Cleverley, Senderos

Manager: Paul Lambert 6

 

 

Tupia Comments