Michezo

Magoli na matokeo ya mchezo wa Galatasary vs Chelsea

on

article-2568723-1BDCEA9700000578-803_634x469Chelsea imekuwa timu ya kwanza ya ligi kuu ya England kuweza kufunga goli katika hatua ya 16 ya michuano ya UEFA Champions League baada ya kutoka sare ya 1-1 dhidi ya Galatasary.

Goli la Chelsea lilifungwa na Torres wakati Galatasary walisawazisha kupitia Aurelien Chedjou.

Tupia Comments