Michezo

Chelsea yaanza vibaya International Champions Cup cheki Pichaz na Video ilivyokuwa

on

New-York-Red-Bulls-vs-Chelsea-Pre-season-friendly-2015

Kama ulikuwa hufahamu kuhusu International Champions Cup ni michuano inayochezwa wakati vilabu vinapojiandaa kuanza kwa msimu mpya wa Ligi Kuu. Michuano hii mara nyingi huusisha timu za Ulaya, Asia na Marekani ambapo timu hujigawa katika nchi mbalimbali kutegemeana na nchi mwenyeji atakuwa nani.

481617012

Ni mashindano yanayohusisha timu tatu hadi nne ila lengo likiwa ni vilabu kupata mechi za kimataifa za kirafiki, ni muendelezo wa mashindano ya Friendly Association Football…July 23 umepigwa mchezo mmoja kati ya New York Red Bulls dhidi ya Chelsea ya Uingereza.

epa04857237 Chelsea forward Diego Costa (B) shoots  past Red Bulls goalkeeper Santigo Castano (F) during the second half of the International Champions Cup friendly soccer match between the New York Red Bulls and English Premier League side Chelsea FC at Red Bulls Stadium in Harrison, New Jersey, USA, 22 July 2015.  EPA/PETER FOLEY

Mechi hiyo imemalizika kwa Chelsea kufungwa kwa jumla ya goli 4-2, magoli ya New York Red Bulls yalifungwa na Castellanos dakika 51, Adams dakika 67, Davis dakika ya 73 na 78 huku magoli ya Chelsea yakifungwa na Remy dakika ya 26 na Hazard dakika ya 75.

Nimekusogezea video ya magoli na pichaz za mchezo mtu wangu

1685522_heroa

GettyImages-481612562.0

match-report--new-york-red-bulls-v-chelsea-.img (1) 1646076-34919407-2560-1440

1685522_heroa

481616996

481617164

481617230

1646076-34919407-2560-1440

https://youtu.be/EoYx3-JSqck

Nitakutumia stori zote ukibonyeza hapa >>> Twitter Insta FB na nitakua nikikutumia kila ninachokipata pia usisahau kusubscribe YouTube kwa kubonyeza hapa >>>Videos ili kila video ya AyoTV ikufikie

Tupia Comments