Top Stories

Chenge aibukia CCM, ataka kumrithi Ndugai “Chama kifanye kazi yake” (video+)

on

Mbunge wa zamani wa Bariadi Magharibi, Andrew Chenge leo January 12,2022 amechukua fomu kuwania kiti cha Uspika katika Ofisi ndogo ya Makao Makuu ya CCM Lumumba Dar es Salaam.
Ayo TV & Millardayo.com imekusogezea ushuhudie kile alichojiri baada ya Chenge kuchukua fomu.

Soma na hizi

Tupia Comments