Michezo

CHEKA HAPA: Unazijua sheria hizi za mpira wa makaratasi tukiwa Watoto (+video)

on

Leo June 29,2019 Nakusogezea baadhi ya sheria ambazo zilikuwa zinatumika na bado zinaendelea kutumika katika mpira wa makaratasi ambao umekuwa unachezwa na Watoto maeneo mbalimbali hazijaandikwa ila zilikuwa zinafuatwa. Bonyeza PLAY hapa chini kuzifahamu.

TAZAMA HAYA HAPA MAAJABU KUMI YA SOKA USIYOYAJUA

 

 

Soma na hizi

Tupia Comments