on air with millardayo

Exclusive: Chege na kilichotokea alivyokutana na Juma Nature, Sweety Sweety na waliogombana South Africa

on

Chege ambaye ni staa wa single number 1 CloudsFM Top20 March 13 2016 alikaa kwenye OnAIRwithMillardAyo na kueleza mambo kadhaa ambayo Watanzania hawakuwa wameyasikia kutoka kwake, kaongelea BEEF ambayo wengi waliamini iko kati yake na Juma Nature, ugomvi wa kundi la UHURU alivyokwenda kufanya video South Africa pamoja na ishu nyingine…. mtazame kwenye hii video hapa chini.

UNAWEZA KUITAZAMA VIDEO YAKE YA ‘SWEETY SWEETY’ HAPA CHINI

Unataka kutumiwa MSG za habari zote kubwa kutoka kwa Millard Ayo? ukiwa na line ya tiGO andika ‘AYO‘ tuma kwenda 15510, msg utayotumiwa jibu OK ili uanze kupokea matukio yote kwa sms, pia ungana na Millard Ayo kwenye Twitter, FB, Instagram na YouTUBE wa kubonyeza hapa >>> INSTAGRAM TWITTER FB YOUTUBE

Soma na hizi

Tupia Comments