Millard AyoMillard Ayo
  • Top Stories
  • Entertainment
  • Sports
  • Magazeti
  • Contact
Search
  • Contact
  • Blog
  • Complaint
  • Advertise
© 2022 MILLARD AYO. Designed by F&A. All Rights Reserved.
Reading: Likitekelezwa hili, Wasichana 83 wa Chibok wataachiwa huru na Boko Haram
Share
Notification Show More
Latest News
Madiwani (3) Waandamanaji 87,wakamatwa nchini Afika ya kusini.
March 20, 2023
Jela kwa mauaji,kuchomoa moyo na kuupika kulisha familia yake “Ninawaondolea mapepo” .
March 20, 2023
Tunisia yaadhimisha Miaka 67 ya Uhuru.
March 20, 2023
Serikali ya Taliban yapiga marufuku zao la bangi.
March 20, 2023
Habari kubwa Magazetini Kenya leo March 20, 2023
March 20, 2023
Aa
Millard AyoMillard Ayo
Aa
  • Top Stories
  • Entertainment
  • Sports
  • Magazeti
Search
  • Top Stories
  • Entertainment
  • Sports
  • Magazeti
Follow US
  • Contact
  • Blog
  • Complaint
  • Advertise
© 2022 MILLARD AYO. Designed by F&A. All Rights Reserved.
Millard Ayo > Blog > Mix > Likitekelezwa hili, Wasichana 83 wa Chibok wataachiwa huru na Boko Haram
Mix

Likitekelezwa hili, Wasichana 83 wa Chibok wataachiwa huru na Boko Haram

October 18, 2016
Share
2 Min Read
SHARE
Siku chache baada ya kuwaachia huru wasichana 21 wa Chibok, Kundi la kigaidi la Boko Haram kutoka Nigeria limeeleza juu ya utayari wake wa kuwaachia huru wanafunzi wengine wa kike waliowateka nyara zaidi ya miaka miwili iliyopita.

Taarifa ya Garba Shehu, ambaye ni msemaji wa Rais wa Nigeria amesema kundi hilo la kigaidi limetangaza kuwa tayari kuwaachia huru wanafunzi wengine 83 iwapo serikali itakubali kuketi kwenye meza ya mazungumzo na wanamgambo hao. Aidha msemaji wa Rais amesisitiza kuwa serikali iko tayari kufanya mazungumzo na kundi hilo la kigaidi kuhusiana na kuachiwa huru wanafunzi hao.

October 13, 2016, wanafunzi 21 wa Shule ya Upili ya Chibok waliachiwa huru katika eneo la Banki, kwenye mpaka wa Nigeria na Cameroon, katika kile kilichotajwa kuwa makubaliano maalumu baina ya serikali ya Abuja na kundi la Boko Haram. Garba Shehu, msemaji wa Rais wa Nigeria alithibitisha habari hiyo na kusema kuwa, Shirika la Msalaba Mwekundu na serikali ya Uswisi ndizo zilizofanikisha kuachiliwa huru wasichana hao. 

Juhudi mbalimbali yakiwemo maandamano ya kimataifa ya amani yamekuwa yakifanyika kwa ajili ya kushinikiza kuachiwa huru wasichana wote waliotekwa nyara na kundi la Boko Haram.

Ikumbukwe kuwa, tarehe 14 Aprili 2014, kundi hilo la kigaidi liliwateka nyara wanafunzi 276 wa kike katika eneo la Chibok, wakati wasichana hao walipokuwa wanafanya mtihani. Wasichana 57 walifanikiwa kutoroka mara baada ya kutekwa nyara na genge hilo.

ULIMISS AGIZO LA DC WA ARUMERU JUU YA VIONGOZI WA KIJIJI WANAOJIHUSISHA NA KILIMO CHA BANGI 

You Might Also Like

Kamati ya Bunge ya Miundombinu imeridhishwa na ujenzi wa BRT

Waziri Mkuu awataka vijana na Wanawake kuchangamkia program ya IMBEJU

AudioMPYA: Joshua Ngelendo anakualika kusikiliza “Jemedari”

List ya Wasanii wakubwa watakaoimba Tamasha la Pasaka 2023

TCDC na Makakati kukuza biashara kidijitali

TAGGED: CHIBOK, Nigeria
Admin October 18, 2016
Share this Article
Facebook TwitterEmail Print
Share
Previous Article Makubaliano 4 yaliyopitishwa kwenye kikao kati ya Serikali ya DRC na upinzani
Next Article VIDEO: Walichokifanya Quick Rocka na Darasa kwenye stage ya Fiesta Mbeya
Leave a comment Leave a comment

Leave a Reply Cancel reply

You must be logged in to post a comment.

- Advertisement -

Latest News

Madiwani (3) Waandamanaji 87,wakamatwa nchini Afika ya kusini.
Top Stories March 20, 2023
Jela kwa mauaji,kuchomoa moyo na kuupika kulisha familia yake “Ninawaondolea mapepo” .
Top Stories March 20, 2023
Tunisia yaadhimisha Miaka 67 ya Uhuru.
Top Stories March 20, 2023
Serikali ya Taliban yapiga marufuku zao la bangi.
Top Stories March 20, 2023

You Might also Like

Top Stories

Madiwani (3) Waandamanaji 87,wakamatwa nchini Afika ya kusini.

March 20, 2023
Top Stories

Jela kwa mauaji,kuchomoa moyo na kuupika kulisha familia yake “Ninawaondolea mapepo” .

March 20, 2023
Top Stories

Tunisia yaadhimisha Miaka 67 ya Uhuru.

March 20, 2023
Top Stories

Video: Jamaa atumia dakika 8 kula Wali na nyama kilo mbili

March 19, 2023
Show More
//

To be recognized as Africa’s leading and most trusted online media network providing quality content across all our media platforms by 2025

Sign Up for Our Newsletter

Subscribe to our newsletter to get our newest articles instantly!

Millard AyoMillard Ayo
Follow US

© 2022 MILLARD AYO. Designed by F&A. All Rights Reserved.

Removed from reading list

Undo

Lost your password?