Mix

PICHA 10: Wasichana waliokuwa wametekwa na Boko Haram walivyokutana na familia zao.

on

Aprili 2014 zaidi ya wasichana 270 walitekwa wakiwa shuleni katika mji wa Chibok na wapiganaji wa Boko Haram, mpaka leo ikiwa ni baada ya zaidi ya miaka miwili tangu kutekwa kwa wasichana hao, Alhamisi ya October 13, 2016  ziliripotiwa taarifa za kuachiwa kwa baadhi ya wasichana hao na kurejeshwa baada ya mazungumzo kati ya viongozi wa serikali ya Nigeria na viongozi wa Boko Haram.

Leo October 17 2016 Wasichana 21 wa Chibok hatimaye wamekutana na familia zao nimekuwekea picha zao hapa chini

39704b5300000578-3841968-image-m-109_1476704066120

39704c9200000578-3841968-a_mother_and_daughter_broke_down_with_emotion-m-115_1476704178137 39705abb00000578-3841968-image-m-113_1476704155508

143948ef00000514-3841968-oludolapo_osinbajo_left_the_wife_of_nigeria_s_vice_president_con-m-105_1476703966018 397049b600000578-3841968-a_father_hugs_his_freed_daughrer-m-107_1476703982097 3970556e00000578-3841968-image-a-119_1476704784381 161017091730-chibok-girls-reunited-exlarge-169 161017092315-chibok-girls-back-exlarge-169 161017093545-chibok-girls-reunion-2-exlarge-169 3970507600000578-3841968-image-a-118_1476704743254

ULIKOSA HII NYUMBA YA KWANZA ALIYOWAHI KUMILIKI MWL. NYERERE? BONYEZA PLAY HAPA CHINI

Soma na hizi

Tupia Comments