Mix

Chicharito ameondoka Man UTD – hii ndio klabu mpya aliyohamia

on

IMG_6910.JPG

Siku ya kufungwa kwa dirisha la usajili inazidi kupamba moto, muda mfupi baada ya Falcao kwenda Man United, Javier Hernandez Chicharito ameondoka Old Trafford.

Taarifa zilizothibitishwa na Man United zinasema kwamba Hernandez amejiunga na Real Madrid kwa mkopo wa msimu mmoja.

Hernandez ambaye alijiunga na United mnamo mwaka 2010 anaenda Madrid kuchukua nafasi ya Alvaro Morata ambaye aliuzwa Juventus.

Endelea kutembelea millardayo.com kwa habari motomoto za usajili

Tupia Comments