Millard AyoMillard Ayo
  • Top Stories
  • Entertainment
  • Sports
  • Magazeti
  • Contact
Search
  • Contact
  • Blog
  • Complaint
  • Advertise
© 2022 MILLARD AYO. Designed by F&A. All Rights Reserved.
Reading: Chimbo jipya la Esha Buehti alilowekeza Mamilioni ya Pesa za muwewe, asimulia magumu aliyopitia
Share
Notification Show More
Latest News
Habari kubwa Magazetini Kenya leo June 4, 2023
June 4, 2023
Habari kubwa za Magazeti ya Tanzania leo June 4, 2023
June 4, 2023
Picha: Kutoka Airport DSM, Ndege ya kwanza ya mizigo ‘Boeing 767-300F ilivyotua, Rais ashuhudia
June 3, 2023
Mapokezi ya ndege ya kwanza ya mizigo aina ya Boeing 767 -300F
June 3, 2023
Rais wa Uturuki Recep Tayyip Erdogan anatarajiwa kuapishwa kuliongoza taifa hilo
June 3, 2023
Aa
Millard AyoMillard Ayo
Aa
  • Top Stories
  • Entertainment
  • Sports
  • Magazeti
Search
  • Top Stories
  • Entertainment
  • Sports
  • Magazeti
Follow US
  • Contact
  • Blog
  • Complaint
  • Advertise
© 2022 MILLARD AYO. Designed by F&A. All Rights Reserved.
Millard Ayo > Blog > Top Stories > Chimbo jipya la Esha Buehti alilowekeza Mamilioni ya Pesa za muwewe, asimulia magumu aliyopitia
Top Stories

Chimbo jipya la Esha Buehti alilowekeza Mamilioni ya Pesa za muwewe, asimulia magumu aliyopitia

May 26, 2023
Share
1 Min Read
SHARE

Mwigizaji na mpishi Esha Buheti ambaye anamiliki mgahawa wa Buheti House of Food ametuonesha Chimbo Lake Jipya alilofungua hivi karibuni baada ya kuwekeza Ma Milioni ya fedha alizopewa na Mume wake Hamadi Waziri ambaye anaichezea team ya mpira wa miguu ya Singida FC.

Esha anasema ahaikua rahisi kwani Ndio kipindi amepitia Mapito mengi baada ya kodi kuisha katika Nyumba ya wakwe zake aliyokuwa akiishi na Mzazi Mwenzake wa kwanza hivyo ikawa inamlazimu kutafuta Nyumba ya kuishi na kulipia kodi huku kukarabati eneo hilo ambalo limetumia fedha nyingi kwani eneo ambalo lilikuwa halitumiki.

Hata hivyo Esha amesema anashukuru Mungu Sasa hivi anaendelea vizuri kwani aliumwa na kufanyiwa Operation Ya kutoa uvimbe 11 tumboni zilizompa madhara ya over bleeding.

“Wakati Tunaowana tuliongea vitu vingi sana akasema nini nikufanyie, Nikamwambie mimi Natamani kuwa na Ofisi kubwa, akasema basi Naomba nikuchangie Hela yangu usajili, unaonaje na mshahara ukawa unakaa nao wewe.? Sababu kule singida tunalipiwa kila kitu, Ndio tukaanziaa hapo,

“Pale kodi yangu iliisha, nashangaa wanaosema nimefukuzwa, wakwe zangu naongea nao vizuri mpaka leo” Esha Buheti

You Might Also Like

Picha: Kutoka Airport DSM, Ndege ya kwanza ya mizigo ‘Boeing 767-300F ilivyotua, Rais ashuhudia

Mapokezi ya ndege ya kwanza ya mizigo aina ya Boeing 767 -300F

Rais wa Uturuki Recep Tayyip Erdogan anatarajiwa kuapishwa kuliongoza taifa hilo

Watu 288 sasa wamethibitishwa kufarikiwengine 900 kujeruhiwa katika ajali ya treni India

Ukraine iko tayari kuzindua mashambulizi-Volodymyr Zelensky

Edwin TZA May 26, 2023
Share this Article
Facebook TwitterEmail Print
Share
Previous Article Live: Ali Kamwe aongoza Shangwe la Fainali Mbagala Zakheim, Tazama kinachoendelea muda huu
Next Article Mvutano: Wabunge wampinga Waziri, Vurugu Zaibuka, busara yatumika ‘Mnamkingia kivuli’
Leave a comment Leave a comment

Leave a Reply Cancel reply

You must be logged in to post a comment.

- Advertisement -

Latest News

Habari kubwa Magazetini Kenya leo June 4, 2023
Magazeti June 4, 2023
Habari kubwa za Magazeti ya Tanzania leo June 4, 2023
Magazeti June 4, 2023
Picha: Kutoka Airport DSM, Ndege ya kwanza ya mizigo ‘Boeing 767-300F ilivyotua, Rais ashuhudia
Top Stories June 3, 2023
Mapokezi ya ndege ya kwanza ya mizigo aina ya Boeing 767 -300F
Top Stories June 3, 2023

You Might also Like

Top Stories

Picha: Kutoka Airport DSM, Ndege ya kwanza ya mizigo ‘Boeing 767-300F ilivyotua, Rais ashuhudia

June 3, 2023
Top Stories

Rais wa Uturuki Recep Tayyip Erdogan anatarajiwa kuapishwa kuliongoza taifa hilo

June 3, 2023
Top Stories

Watu 288 sasa wamethibitishwa kufarikiwengine 900 kujeruhiwa katika ajali ya treni India

June 3, 2023
Top Stories

Ukraine iko tayari kuzindua mashambulizi-Volodymyr Zelensky

June 3, 2023
Show More
//

To be recognized as Africa’s leading and most trusted online media network providing quality content across all our media platforms by 2025

Sign Up for Our Newsletter

Subscribe to our newsletter to get our newest articles instantly!

Millard AyoMillard Ayo
Follow US

© 2022 MILLARD AYO. Designed by F&A. All Rights Reserved.

Removed from reading list

Undo

Lost your password?