Videos

EXCLUSIVE: Chin Bees afunguka kuhusu mahusiano na Navy Kenzo

on

Mwimbaji staa wa Bongofleva Chin Bees amekaa kwenye Exclusive Interview na Ayo TV na millardayo.com na kueleza kuhusu mahusiano yake na kundi la Navy Kenzo pamoja na mambo mengine ya kimuziki.

Chen Bees amedai kuwa tofauti kwa sababu anafanya kazi kubwa ukilinganisha kipindi cha nyuma ambapo alikuwa anafanya kazi nyingi za watu huku akiushukuru uongozi wa sasa kwa kutoa ushirikiano unaomfanya aendelee kufanikiwa.

Mbali na hayo Chin Bees amezungumzia mahusiano yaliyopo baina yake na Navy Kenzo“Kamatia chini mimi ndio niliandika. Verse ya kwanza mimi ndio nilishiriki mpaka ule wimbo kufikia pale lakini watu wanafanikiwa kwa kutumia ubunifu wako kitu ambacho siyo kizuri. Zipo nyingi kama Never ever na Game zote zile nilihusika.” – Chin Bees.

Itazame full video hapa chini kwa kuponyeza Play

Mahojiano ya Diamond Platnumz kuhusu Ivan siku 2 kabla ya kifo (+video)

Soma na hizi

Tupia Comments