Top Stories

China wasema Marekani haijaikomoa shirika la Afya Duniani

on

NI Msemaji kutoka wizara ya Mambo ya Nje China,  Zhao Lijian alizungumza juu ya mijadala inayoendelea kati ya Marekani na Shirika la Afya Duniani.

Shirika la Afya Duniani (WHO), linafanya kazi kubwa ya kutatua matatizo ya kiafya kwenye Nchi zote Duniani ikiwemo Marekani, maamuzi ya Marekani kuacha kuifadhili WHO’- Zhao Lijian

Yatakwamisha ushirikiano wa Kimataifa kwenye mapambano dhidi ya corona na Nchi zote zitaathirika ikiwemo Marekani, hatuwakomoi WHO tunajikomoa”- Zhao Lijian,

Hayo yaliyosemwa na Msemaji Wizara ya Mambo ya Nje China baada ya Trump kusitisha ufadhili kwa WHO

ULIKOSA UTANI WA IDRIS SULTAN AKIMTANI NANDY LIVE BAADA YA KUVALISHWA PETE ITAZAME HII VIDEO HAPA

 

 

Soma na hizi

Tupia Comments