Premier Bet
TMDA Ad

Duniani

VIDEO: Mtoto alivyoingia barabarani na gari lake la kuchezea

on

Imetokea huko Lishui China ambako mtoto akiwa na gari lake la kuchezea aliingia kwenye barabara ya magari tena kwenye barabaraba iliyo busy na kuendesha gari lake kuelekea upande magari yanakotokea.

Magari yaliendelea na safari zake na kumkwepa lakini baada ya Polisi kumuona, akamfata na kumuondoa na kumkabidhi kwa Mwanamke ambaye inaaminika ni mama yake, unaweza kutazama video yenyewe hapa chini.

VIDEO: Ajali ya basi na Lori Kimara Dar es salaam, yote yateketea baada ya ajali

VIDEO: Ulikosa kuona gari WCB walilomzawadia Rayvanny? tazama hii video hapa chini

Soma na hizi

Tupia Comments