Top Stories

Utacheka kutana na Aisha Mchina maarufu anaepika vyakula vya Kitanzania China (+video)

on

Leo April 3, 2019 AyoTV na millardayo.com tunakusogezea Exclusive Interview na Mchina ambaye amepewa jina la Aisha anayeishi nchini China na anamiliki Mgahawa maarufu kama Tanzania restaurant ambapo upika vyakula vya Kitanzania kama ugali, mchemsho,chips,chai na vingine.

Aisha anakuambia ni Mumewe amemfundisha kupika vyakula hivyo ambaye nae ni Mchina na Aisha anatamani kuja Tanzania akipata passport maana ana marafiki wengi ambao walikua wanakaa china.

HATARI: Video Live kutoka China Kimbunga kinaang’amiza, Mtanzania amezungumza

Soma na hizi

Tupia Comments