AyoTV

VIDEO: Cheka kidogo na huyu Mbunge anayejiita ‘Bwege’ na hivi vituko vyake Bungeni

on

Bado headlines za Bunge zinaendelea kutufikiakila kukicha, na May 17 2016 Wizara ya Ujenzi, Uchukuzi na Mawasiliano iliwasilisha hotuba yake ya mapato na matumizi ya fedha kwa mwaka 2016/2017 Kazi iliyofanywa na Waziri  wake Makame Mbarawa.

Katika michango ya bajeti nakukutanisha na  Mbunge wa Kilwa Kusini Suleiman Bungara maarufu kwa jina laBwegeambaye mara nyingi husifika kwa style yake ya kuchekesh wakati wa kuongea alipopata nafasi ya kuchangia alikuwa na haya..

ULIZIKOSA HII MBUNGE ALI KESSY HATAKI VIWANJA VYA NDEGE TANZANIA?

Unataka kutumiwa MSG za habari zote kubwa kutoka kwa Millard Ayo? ukiwa na line ya tiGO andika ‘AYO‘ tuma kwenda 15510, msg utayotumiwa jibu OK ili uanze kupokea matukio yote kwa sms, pia ungana na Millard Ayo kwenye Twitter, FB, Instagram na YouTUBE wa kubonyeza hapa >>> INSTAGRAM TWITTER FB YOUTUBE

Soma na hizi

Tupia Comments