Millard AyoMillard Ayo
  • Top Stories
  • Entertainment
  • Sports
  • Magazeti
  • Contact
Search
  • Contact
  • Blog
  • Complaint
  • Advertise
© 2022 MILLARD AYO. Designed by F&A. All Rights Reserved.
Reading: Chongolo awaonya Mawaziri na Viongozi wengine “Tutachukuliana hatua” (video+)
Share
Notification Show More
Latest News
Jorginho aondoka Chelsea na kusaini Arsenal
February 1, 2023
Rais Samia ashtukia mchezo mchafu hela za Plea Bargain
January 31, 2023
Rais Samia ainyooshea kidole Polisi, Magereza
January 31, 2023
Waliokutwa na meno ya tembo wahukumiwa miaka 20 jela (+video)
January 31, 2023
Maji ya ajabu yanayotoka bombani Johannesburg
January 31, 2023
Aa
Millard AyoMillard Ayo
Aa
  • Top Stories
  • Entertainment
  • Sports
  • Magazeti
Search
  • Top Stories
  • Entertainment
  • Sports
  • Magazeti
Follow US
  • Contact
  • Blog
  • Complaint
  • Advertise
© 2022 MILLARD AYO. Designed by F&A. All Rights Reserved.
Millard Ayo > Blog > Top Stories > Chongolo awaonya Mawaziri na Viongozi wengine “Tutachukuliana hatua” (video+)
Top Stories

Chongolo awaonya Mawaziri na Viongozi wengine “Tutachukuliana hatua” (video+)

January 25, 2023
Share
1 Min Read
SHARE

Katibu Mkuu wa Chama cha Mapinduzi (CCM) Daniel Chongolo amewataka viongozi mbalimbali walioteuliwa Serikalini kufanya maamuzi badala ya kuwa watu wa kulalamika huku akisisitiza kuwa watachukua hatua kwa wale ambao wataonekana hawaendi sawa na chama kinavyotaka.

Katibu Mkuu Chongolo ameyasema hayo leo January 24, 2023 Jijini Dodoma wakati wa mapokezi ya Wajumbe wa Sekretarieti mpya ya chama cha Mapinduzi Taifa ambapo amesema wanashangaa kuona baadhi ya viongozi wakiwemo Mawaziri, wakuu wa mikoa na baadhi ya viongozi wanalalamika kutopewa ushirikiano na watumishi wa chini yao, hivyo amewataka wajitathmini wao wenyewe kama wanatosha kwenye nafasi hizo.

You Might Also Like

Rais Samia ashtukia mchezo mchafu hela za Plea Bargain

Rais Samia ainyooshea kidole Polisi, Magereza

Waliokutwa na meno ya tembo wahukumiwa miaka 20 jela (+video)

Maji ya ajabu yanayotoka bombani Johannesburg

Biden akataa kutuma ndege za kivita Ukraine

Edwin TZA January 25, 2023
Share this Article
Facebook TwitterEmail Print
Share
Previous Article Utata msiba wa Massawe azikwa kwa mbinde, Mke adaiwa kufunga Nyumba (video+)
Next Article Mfahamu Mwanamke anayetafutwa na FBI, ametapeli $Bil 4, ‘Yuko Top ten wahalifu hatari Duniani”
Leave a comment Leave a comment

Leave a Reply Cancel reply

You must be logged in to post a comment.

- Advertisement -

Latest News

Jorginho aondoka Chelsea na kusaini Arsenal
Sports February 1, 2023
Rais Samia ashtukia mchezo mchafu hela za Plea Bargain
Top Stories January 31, 2023
Rais Samia ainyooshea kidole Polisi, Magereza
Top Stories January 31, 2023
Waliokutwa na meno ya tembo wahukumiwa miaka 20 jela (+video)
Top Stories January 31, 2023

You Might also Like

Top Stories

Rais Samia ashtukia mchezo mchafu hela za Plea Bargain

January 31, 2023
Top Stories

Rais Samia ainyooshea kidole Polisi, Magereza

January 31, 2023
Top Stories

Maji ya ajabu yanayotoka bombani Johannesburg

January 31, 2023
Top Stories

Biden akataa kutuma ndege za kivita Ukraine

January 31, 2023
Show More
//

To be recognized as Africa’s leading and most trusted online media network providing quality content across all our media platforms by 2025

Sign Up for Our Newsletter

Subscribe to our newsletter to get our newest articles instantly!

Millard AyoMillard Ayo
Follow US

© 2022 MILLARD AYO. Designed by F&A. All Rights Reserved.

Removed from reading list

Undo

Lost your password?