Habari za Mastaa

Good News kwa muziki wa Afrika Chris Brown kampa dili Wizkid

on

Najua jina la Chris Brown sio geni masikioni mwa watu wanaopenda muziki, basi leo May 29 2016 huenda ikawa ni good news kwa muziki wa Afrika, baada ya msanii kutoka Marekani Chris Brown kumpost msanii Wizkid kutoka Nigeria.

Katika ukurasa wake wa Instagram Chris Brown amempost Wizkid na kuandika maneno machache sana, lakini yanatafsirika kama kumualika mkali huyo wa Nigeria katika tour yake ya One Hell Of Nite Tour kwa mwaka 2016 atakayoifanya bara la Ulaya katika nchi za Uholanzi, Ujerumani na Denmark.

13

Muda mchache baada ya Chris Brown kupost picha ya Wizkid, staa huyo kutokea Nigeria alipost nae picha kama hiyo na kuthibitisha kuwa kuanzia June 5 hadi June 11 2016 atakuwa katika #OneHellOfANiteTour pamoja na Chris Brown.

12

KAMA ULIIKOSA SHOW YA UZINDUZI WA VIDEO YA ‘HAPO’ ILIYOFANYWA NA JUX, G NAKO NA QUICK ROCKA

Unataka kutumiwa MSG za habari zote kubwa kutoka kwa Millard Ayo? ukiwa na line ya tiGO andika ‘AYO‘ tuma kwenda 15510, msg utayotumiwa jibu OK ili uanze kupokea matukio yote kwa sms, pia ungana na Millard Ayo kwenye Twitter, FB, Instagram na YouTUBE wa kubonyeza hapa >>> INSTAGRAM TWITTER FB YOUTUBE

Soma na hizi

Tupia Comments