Habari za Mastaa

Chris Brown kaja na mzigo mwingine, dakika zako tatu kuupitia hapa.. -‘Back to Sleep’ (+Video)

on

Zikiwa zimebaki siku chache kufikia uzinduzi wa album yake mpya, Royalty staa wa muziki wa R&B, Chris Brown amerudi kwa mara nyingine wiki hii na ujio wa mzigo wa latest single yake ‘Back to sleep’.

back2

Official countdown kuelekea uzinduzi wa album ya saba ya Chris imeanza rasmi huku tukihesabu siku 4 kufikia tarehe 18 December 2015, tarehe ambayo album hiyo itakuwa mtaani kwa watu wote wenye support na love ya nguvu kwa Chris Brown na muziki wake… Album mpya ya Chris inabeba singles kama Liquor, Zero, Fine By Me, Wrist na Anyway.

back

Ninazo hapa chini dakika tatu za mdundo wa Chris Brown, kuzinasa bonyeza play hapa chini kwenye hii video yenyewe.

Unataka kutumiwa MSG za habari zote kubwa kutoka kwa Millard Ayo? ukiwa na line ya tiGO andika ‘AYO’ tuma kwenda 15510, msg utayotumiwa jibu OK ili uanze kupokea matukio yote kwa sms, pia ungana na Millard Ayo kwenye Twitter,FBInstagram na YouTUBE kwa kubonyeza hapa >>> INSTAGRAM TWITTER FB YOUTUBE

Soma na hizi

Tupia Comments