Habari za Mastaa

Chris Brown anaisogeza ‘Fine By Me’ kutoka kwenye Album yake mpya – (Audio).

on

Baada ya kutoa performance iliyowafuraihsa mashabiki wake wengi kwenye kipindi cha The Tonight Show, Chris Brown amerudi kuzikamata headlines za weekend hii na single nyingine inayopatikana kwenye Album yake mpya ROYALTY.

Wimbo unaitwa Fine By Me na ndani yake umebeba miondoko fulani ya miaka ya 80 yenye mchanganyiko wa Pop kwa mbali… ndani Chis Brown anasikika akiimba, “She only loves me when the lights are out, lights are out / She only loves me when the sun is down, sun is down / She only loves me when no one’s around, no one’s around / She only loves me cause I put it down / And it’s fine by me”.

BRZY2

Kama wewe ni shabiki mkubwa wa C Breezy ipokee hii mpya kutoka kwake, ukubwa wake ni dakika 3 tu na unaweza kuunasa mdundo wake kwa kuponyeza play hapa chini.

Unataka kutumiwa MSG za habari zote kubwa kutoka kwa Millard Ayo? ukiwa na line ya tiGO andika ‘AYO‘ tuma kwenda 15510, msg utayotumiwa jibu OK ili uanze kupokea matukio yote kwa sms, pia ungana na Millard Ayo kwenye Twitter, FB, Instagram na YouTUBE kwa kubonyeza hapa >>> INSTAGRAM TWITTER FB YOUTUBE

Soma na hizi

Tupia Comments