Mix

Waziri Mkuu mstaafu, Sumaye arejesha fomu za uenyekiti CHADEMA

on

Leo July 14 2016 Waziri mkuu mstaafu wa serikali ya awamu ya tatu Frederick Sumaye amerudisha fomu ya kuwania nafasi ya uenyekiti wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo ‘CHADEMA’ kanda ya Pwani, Sumaye ana wapinzani wawili ambao ni John Gugunita na Gango Kidera.

Nafasi zingine za uongozi ambazo zipo wazi ni makamu mwenyekiti ambapo watu watatu wamejitokeza kugombea nafasi hiyo akiwemo Saed Kubenea, nafasi ya mwekahazina wagombea watatu wamejitokeza akiwemo aliyekuwa naibu waziri wa kazi na ajira wa serikali ya awamu ya nne, Makongoro Mahanga.


ULIKOSA LOWASSA KUELEZA ALICHOZUNGUMZA NA TB JOSHUA NA KUTORIDHISHWA NA NEC? UNAWEZA KUANGALIA VIDEO HII HAPA CHINI

Soma na hizi

Tupia Comments