AyoTV

VIDEO: Rais Magufuli alivyotembelea shule ya msingi aliyosomea Chato

on

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli ametembelea Shule ya Msingi Chato mkoani Geita. Shule hiyo ya Msingi Chato ndiyo Rais Dkt. Magufuli alisoma kuanzia darasa la kwanza mpaka Darasa la Saba.

Akiwa shuleni hapo Rais Dkt. Magufuli ameahidi kuwajengea madarasa matatu na ofisi ya walimu, Bonyeza play hapa chini kutazama

VIDEO: Agizo la Rais Magufuli kuhusu kufutwa kwa tozo katika zao la kahawa, Bonyeza play hapa chini kutazama 

 

Soma na hizi

Tupia Comments