Habari za Mastaa

Chuchu Hans “Tanga kuna warembo kuliko Mkoa wowote” (+video)

on

Msanii wa maigizo Chuchu Hans ambaye ndiye Muandaaji wa Shindano la Miss Tanga kwa mwaka 2019 amesema mwaka huu watatoa mrembo mwenye uwezo wa hali ya juu na watahakikisha anashinda Miss Tanzania na anaiwakilisha nchi katika Shindano la Miss World.

VIDEO: ULIPITWA NA HII YA  MISS KINONDONI 2019 “HATUANGALII UZURI, TUNAANGALIA HESHIMA”?

Soma na hizi

Tupia Comments