Top Stories

Chui alivyoingia gesti na hospitali kujeruhi watu wanne huko hai (video+)

on

Hali ya taharuki imeibuka Septemba 29 ,2021 katika eneo la Bomang’ombe Wilaya ya Hai Mkoani Kilimanjaro baada ya mnyama aina ya Chui kuvamia maeneo ya makazi ya watu.

Kamanda wa Polisi mkoani Kilimanjaro amethibitisha kuuawa kwa chui huyo aliesababisha majeruhi kwa watu watatu.

MFANYABIASHARA AVAMIWA NYUMBANI KWAKE, MILIONI 47 ZAIBIWA KWENYE GARI, DC ANENA

Soma na hizi

Tupia Comments