Duniani

Chui kanaswa kwenye hii video, katoka msituni mpaka kwenye Shule na kuanza kushambulia watu

on

Watu watatu wamejeruhiwa baada ya Chui kuingia kwenye shule moja huko Bangalore India na kufanya Askari watumie takribani saa 14 kumtafuta Chui huyo aliyekuwa na umri wa miaka sita akitokea kwenye Msitu uliokuwa karibu na shule hiyo.

Katika purukushani za kumuwinda, Askari na watu wengine walifanikiwa kumfungia huyu chui bafuni lakini akafanikiwa kutoroka kupitia dirisha dogo la kuingiza hewa, unaweza kutazama hii video hapa chini ya sehemu ya tukio.

Shuleni baada ya Chui kujulikana yuko kwenye mazingira ya shule

Shuleni baada ya Chui kujulikana yuko kwenye mazingira ya shule

Unataka kutumiwa MSG za habari zote kubwa kutoka kwa Millard Ayo? ukiwa na line ya tiGO andika ‘AYO‘ tuma kwenda 15510, msg utayotumiwa jibu OK ili uanze kupokea matukio yote kwa sms, pia ungana na Millard Ayo kwenye Twitter, FB, Instagram na YouTUBE wa kubonyeza hapa >>> INSTAGRAM TWITTER FB YOUTUBE

Soma na hizi

Tupia Comments