Michezo

Chuji atoa povu “Dante mlimsumbua”

on

Kiungo wa zamani wa timu za Yanga SC na Simba SC Athumani Iddi Chuji ameshindwa kuvumilia uamuazi wa Yanga SC kumalizana nae Lamine Moro, huku akidai kuwa wanamnyenyekea wakati Andrew Vincet hakufanyiwa hivyo.

Chuji ameandika maneno hayo kupitia comment yake aliyoiandika katika picha  ambayo afisa muhamasishaji wa Yanga SC Antonio Nugaz aliipost na kueleza kuwa wameamalizana kwa kumlipa madeni yake beki wao wa kigeni Lamine Moro aliyekuwa amegoma.

“Sio sawa kabisa bongo atuheshimiani kabisa Dante mlimsumbua huyu ananyenyekewa kweli nabii hakubaliki kwao hapo tunatengeneza nini haya tuishi tuone ila wadogo zangu nawajua tusubiri tuone”>>>>Athumani Iddi Chuji

VIDEO:PAMBANO LA ROUND 10: MWAKINYO VS TINAMPAY

 

Soma na hizi

Tupia Comments