Top Stories

“Chukua Milioni 5, usimtafute yule Chacha tafuta mwingine” Rais Magufuli

on

Rais Magufuli ameendesha harambee ya kuchangia ununuzi wa pikipiki ya miguu mitatu kwa ajili Bi. Nyangoma James ambaye ni mwenye ulemavu, na amefanikiwa kukusanya shilingi 8,750,000/- zikiwemo shilingi 5,000,000/- alizotoa yeye mwenyewe.

RAIS MAGUFULI ALIVYOFIKA UBUNGO FLYOVER LEO

BREAKING: MAGUFULI AFANYA MAAMUZI MAZITO, AMTUMBUA RC GAMBO NA DC WAKE PAMOJA NA MKURUGENZI

Soma na hizi

Tupia Comments