Habari za Mastaa

PICHA 3: Muonekano mpya wa Chid Benz baada ya kutoka Sober house

on

Msanii wa Bongofleva Chid Benz usiku wa June 15 2016 alipost picha za muonekano wake mpya ikiwa ni siku chache baada ya kutoka Sober house Bagamoyo, alipokuwa amekaa kwa siku kadhaa kama njia ya kuachana na matumizi ya madawa ya kulevya.

Hizi ni picha tatu ambazo Chid Benz alizipost katika account yake mpya ya instagram @officialchidibeenz  ambayo ilifunguliwa jana June 15 2016, toka ameifungua hiyo account hadi leo June 16 2016 saa 13:00 ilikuwa imepata jumla ya followers 17.1k.

1

2

CHID BENZ KAELEZA MIPANGO YAKE BAADA YA KUTOKA SOBER HOUSE

Unataka kutumiwa MSG za habari zote kubwa kutoka kwa Millard Ayo? ukiwa na line ya tiGO andika ‘AYO‘ tuma kwenda 15510, msg utayotumiwa jibu OK ili uanze kupokea matukio yote kwa sms, pia ungana na Millard Ayo kwenye Twitter, FB, Instagram na YouTUBE wa kubonyeza hapa >>> INSTAGRAM TWITTER FB YOUTUBE

Soma na hizi

Tupia Comments