Top Stories

Chumba V.I.P cha meli iliyotua Kigoma, choo na bafu lake (+video)

on

Nina kukaribisha kuzatama muonekano wa ndani ya chumba cha V.I.P kwenye meli mpya iliyotia nanga Mkoani Kigoma MV. Amani kutokea congo

Inaelezwa kuwa meli hiyo kubwa ya kampuni ya Amani ina uwezo wa kubeba abiria 600, mizigo Zaidi ya tani elfu 3500, magari 50 lakini pia uwepo wa vyumba takribani 22 vya kulala vyenye ubora wa Kisasa.

Soma na hizi

Tupia Comments