AyoTV

Kuwa wa kwanza kuitazama video mpya ya Shilole – Chuna Buzi.

By

on

shishi-chuna-buzi-1Mbali na kuwa ni video mpya lakini ni video ambayo inaingia kwenye headline hasa hapa zilipofanywa video mbili ambazo zote zimetayarishwa na Director mmoja,Chuna Buzi ndiyo jina la wimbo huu ambao mbali na kuwa kwenye wimbo siku chache zilizopita Shilole ali-amplify taarifa za kufungua mgahawa wenye jina hilo.

Audio imefanywa kwa Mazuu pale Mazuu Records na video imefanywa na Nisher ambaye ndiye alie Direct video yake ya wimbo wake uliopita wa Nakomaa na Jiji.

Bonyeza play kusikiliza.

Tupia Comments