Habari za Mastaa

Chuo kikuu nchini Canada kimeanzisha somo kuhusu Drake na The Weeknd

on

NI Septemba 24, 2021 ambapo chuo kikuu kimoja kiitwacho Ryerson University huko Toronto nchini Canada kimeanzisha somo jipya liitwalo Deconstructing Drake & The Weeknd .

Mwalimu wa muziki aliefahamika kwa jina la Higgins  alisema wanafunzi wa chuo hicho watajifunza mengi kuhusiana na maisha ya The Weeknd na Drake .

“Nina amini wanafunzi wakifahamu somo hili watapata uelewa mzuri juu ya wawili hao walizaliwa hapa Canada”- Higgis

“Wanafunzi watapata nafasi pia ya kujifunza mashairi ya wawili hao yaani lyrics lakini pia kuwasoma kwa umakini Drake na The Weeknd”- Higgis

DIAMOND AWABURUZA ALIKIBA, HARMONIZE NA WENGINE VIPENGELE AFRIMA, LIST KAMILI YATAJWA

Soma na hizi

Tupia Comments