Habari za Mastaa

Video ya Ciara akithibitisha kuwa anatarajia kupata mtoto na rapper Future.

on

ciara2

Baada ya uhusiano wao hadi kuvalishana pete ya uchumba na rapper Future,hatimaye Ciara anategemea kuwa mama.

Ciara akiwa kwenye show ya The View aliulizwa kwamba kulikuwa na tetesi kuhusu yeye kuwa mjamzito na angependa kuthibisha?.

Ciara akajibu ,”Ndiyo ningependa” na akaonyesha tumbo lake kama anavyoonekana kwenye hii video.

Ciara mwenye miaka 28 atapata mtoto wake wa kwanza lakini Future atapata mtoto wa nne kwasababu aliwai kupata watoto watatu hapo zamani.

ciara3

ciara22

Tupia Comments