Premier Bet SwahiliFlix Ad Tigo Ad

Habari za Mastaa

Watu wangu wa Mwanza mtazipata raha za Cinema Rock city Shopping mall very soon.

on

Mara zote huwa nasema Mwanza ni moja kati ya miji ya Tanzania ninayoizimia, kuanzia hali ya hewa na kwa kila kitu, sasa kama mapenzi yako ni kutazama movies kwa kwenda Cinema, ukiwa Mwanza siku kadhaa zijazo utakua na nafasi ya kwenda Cinema maana kwa mara ya kwanza zinatengenezwa sehemu za kisasa.

Rock City shopping mall

Rock City Shopping mall

Rock City Shopping mall

Ndani ya shopping mall mpya iitwayo ‘Rock City’ kuna sehemu maalum imetengwa kwa ajili ya kumbi za Cinema na itakamilika ndani ya miezi mitatu au minne hivyo katika siku 7 za wiki, watu wa Mwanza watakua na nafasi ya kutazama movie kwenye majumba yao kwa zaidi ya siku nne ndani ya wiki moja.

Rock City shopping mall.

Rock City shopping mall.

Ameshapatikana Mpangaji wa kumbi hizo tatu za Cinema na tayari ameshawasilisha michoro ya ramani za kumbi hizo ambapo ujenzi wake utatumia miezi mitatu mpaka minne kutoka sasa.

Unataka kutumiwa MSG za habari zote kubwa kutoka kwa Millard Ayo? ukiwa na line ya tiGO andika ‘AYO‘ tuma kwenda 15510, msg utayotumiwa jibu OK ili uanze kupokea matukio yote kwa sms, pia ungana na Millard Ayo kwenye Twitter, FB, Instagram na YouTUBE wa kubonyeza hapa >>> INSTAGRAM TWITTER FB YOUTUBE

Soma na hizi

Tupia Comments