Habari za Mastaa

PICHA: Msanii Ciara amefunga ndoa na mpenzi wake Russell Wilson

on

Msanii wa muziki kutoka pande za Marekani Ciara July 6 2016 ameingia kwenye headlines baada ya taarifa na uthibitsho wa picha za yeye kufunga ndoa na mpenzi wake Russell Wilson kuenea mitandaoni.

Ciara amefunga ndoa na Russell wakiwa Peckforton Cheshire Uingereza, kwa pamoja Ciara na mpenzi wake Russell walitumia account zao za instagram kueleza umma furaha yao kuhusu maamuzi yao ya kufunga ndoa.

ciara 2

Kama utakuwa unakumbuka vizuri au humjui vizuri Russell Wilson aliyefunga ndoa na Ciara, ni mchezaji wa American Football  quarterback akiichezea timu ya Seattle Seahawks inayoshiriki National Football League (NFL).

We are The Wilsons!

A photo posted by Russell Wilson (@dangerusswilson) on

ISIKUPITE EXCLUSIVE VIDEO YA NYUMBA YA MILIONI 700 WANAYOIJENGA NAVY KENZO

Soma na hizi

Tupia Comments