Mix

Miji 10 duniani inayotajwa kuongoza kwa vurugu, Afrika upo mmoja

on

Kila kitu kina rekodi zake siku hizi ambapo kwenye post hii ni zamu ya kuifahamu miji ambayo vurugu kwao sio kitu kigeni wala cha kustaajabisha, ni vitu vinatokea kwenye mazingira yao mara kwa mara.

10. Cali, Colombia,

9. Cape Town, Afrika Kusini

8. Palmira, Colombia,

7. Valencia, Venezuela

6. Distrito Central, Honduras

5. Maturin

4. Acapulco, Mexico

3. San Salvador, El Salvador

2. San Pedro Sula, Honduras

1. Caracas, Venezuela

ULIPITWA? Tazama picha za juu za ujenzi wa barabara nne kwa mara ya kwanza Arusha-Voi Kenya, Bonyeza play hapa chini kutazama

Soma na hizi

Tupia Comments