Habari za Mastaa

Jidenna na Kendrick Lamar wameshirikiana kukuletea Classic Man (Remix). >>> VIDEO

on

jidenna2

Baada ya kutengeneza headlines kubwa na single ya Classic Man, RnB pop artist kutoka lebo ya Wondaland Records Jidenna amerudi tena kuziandika headlines kwenye kurasa za burudani.

Masaa machache yaliopita msanii huyu ameachia official video ya Classic Man remix, pembeni yake yupo Kendrick Lamar na ofcoz boss lady wa Wondaland Records Janelle Monae nae pia kaonekana kwenye video hii.

Nimekusogezea video hiyo hapa chini, bonyeza play kuitazama.

 Unahitaji chochote nachokipata kikufikie? jiunge na mimi kwenye Twitter, Facebook na Instagram kwa kubonyeza hapa >>> Twitter Insta FB na nitakua nikikutumia kila ninachokipata pia usisahau kusubscribe YouTube kwa kubonyeza hapa >>>Videos ili kila video ya AyoTV ikufikie.

Soma na hizi

Tupia Comments