Habari za Mastaa

Hiki ni kitu hiki kipya toka Clouds Tv,jiandae kukipokea mtu wangu.

By

on

Clouds-360-Kama bado hujajiunga na familia ya Clouds Tv huu ni muda muafaka kwako kwani mambo mazuri mengi yapo njiani yanakuja kwa ajili yako mtu wangu wa nguvu,ujio huu hauko mbali,hii ni show mpya ambayo itakua ina mpangilio wa habari zote muhimu za siku.

Taarifa kamili juu ya Clouds 360,itakua lini,muda gani na vitu vyote vitakavyoihusu endelea kufatilia Clouds Tv ‘The people’s Station’.

Tupia Comments