Mix

Ilichokisema Kamati iliyochunguza tukio la Makonda kuvamia Clouds Media

on

Ikiwa ni siku kadhaa zimepita tangu tukio la Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam, Makonda kuvamia Clouds Media akiwa na askari wenye silaha ambapo ilifuatiwa na Waziri mwenye dhamana ya Habari, Nape Nnauye kutembelea Clouds na kuunda Kamati ambayo ingechunguza ishu hiyo. Sasa leo March 22 2017 Kamati hiyo imetoa matokeo ya uchunguzi huo.

VIDEO: ‘Hatutaandika wala kutangaza habari za RC Makonda’ – Jukwaa la Wahariri, Bonyeza play hapa chini kutazama

Soma na hizi

Tupia Comments