Mix

Good news nyingine ! sasa CloudsTV inaonekana Moshi na Arusha!

on

Screen Shot 2014-09-01 at 12.34.08 AMHaijapita hata wiki moja toka isambae good news ya kufunguliwa kwa ofisi za Clouds Media International huko Kingston Jamaica ambapo makao makuu ya hii Clouds Internationa yapo Abu Dhabi.

Good news ya leo ni kuhusu CloudsTV kuanza kuonekana rasmi August 30 2014 Moshi na Arusha ambako kote huko CloudsFM pia inasikika kupitia 87.9

Screen Shot 2014-08-31 at 11.56.55 PMNi time ya Kaskazini kuenjoy shows, habari, music na mengine kupitia CloudsTV yenye shows kama 360, 20 za Town, Show zote za Fiesta pia zinaonyeshwa na mengine mbalimbali.

Ni halali yako kupata kila stori inayonifikia mtu wangu na niko tayari kukutumia wakati wowote iwe usiku au mchana iwapo utakua umejiunga na mimi kwa kubonyeza hapa >>> twitter Insta FB

 

Tupia Comments