Habari za Mastaa

Baada ya Basi Nenda Mo Music katuletea hii single mpya.

on

mooooHit maker wa single ya Basi Nenda kutoka 88.1 Mwanza Mo Music leo ameachia single yake mpya baada ya Basi Nenda kufanya vizuri,hii kaifanya Mazuu Records chini ya Producer Mazuu.

moBonyeza play kusikiliza.

Tupia Comments