Kukutana na Warembo wanaopaka make-up au kuacha viuno wazi sio jambo geni siku hizi….. sasa Mchekeshaji wa Kenya Jemutai ametoa utani wake kuhusu Wasichana wa aina hiyo.
VIDEO: Dogo Pepe na wengine walivyochekesha watu… tazama kwenye hii video hapa chini
VIDEO: Jamaa alivyovunja watu mbavu kwa kuigilizia sauti ya Jakaya Kikwete