Vituko/ Comedy

VideoFUPI: Wanasema ukiwa Muongo uwe na kumbukumbu zote kichwani..

on

Ni kweli ukiwa muongo unatakiwa kuwa na kumbukumbu sana, nimekutana na hii video ya kichekesho ambacho Mrembo mwenye kupenda pesa kaongezea cha juu baada ya kuambiwa na boyfriend wake achukue usafiri kuja nyumbani yeye (boyfriend) ataulipia.

Mtag muongo wako mjanja wa kuongezea cha juu ???

A video posted by millard ayo (@millardayo) on

ULIKOSA KIPISI CHA MOVIE YA MATRON ALIYEMZIMIA MWANAFUNZI SHULENI? TAZAMA HII MOVIE HAPA CHINI..

https://www.youtube.com/watch?v=bFp4y3bgu0U

Unataka kutumiwa MSG za habari zote kubwa kutoka kwa Millard Ayo? ukiwa na line ya tiGO andika ‘AYO‘ tuma kwenda 15510, msg utayotumiwa jibu OK ili uanze kupokea matukio yote kwa sms, pia ungana na Millard Ayo kwenye Twitter, FB, Instagram na YouTUBE wa kubonyeza hapa >>> INSTAGRAM TWITTER FB YOUTUBE

Soma na hizi

Tupia Comments