Videos

VideoMPYA: Country Boy anatualika kuitazama ‘turn up’ ft. Mwana FA

on

Country Boy ni kichwa kingine ambacho kipo kwenye Bongofleva na bado ameendelea kukaza na kuziachia kila siku, leo katuletea hii inaitwa ‘turn up’ aliyomshirikisha Mwana FA.

.

VIDEO: Suprise ya Diamond Platnumz kwenye harusi ya Profesa Jay, itazame hapa chini kwenye hii video

Tupia Comments