AyoTV

VIDEO: Tulivyowanasa wachezaji wa Coastal Union wakishangilia kuifunga Simba dressing room

on

April 11 2016 klabu ya Simba ya Dar es Salaam ilicheza mchezo wake wa robo fainali ya Kombe la FA dhidi ya Coastal Union ya Tanga uwanja wa Taifa Dar es Salaam na kukubali kufungwa kwa jumla ya goli 2-1, baada ya hapo wachezaji wa Coastal Union walinaswa na Camera za Ayo Tv dressing room wakishangilia.

Unataka kutumiwa MSG za habari zote kubwa kutoka kwa Millard Ayo? ukiwa na line ya tiGO andika ‘AYO‘ tuma kwenda 15510, msg utayotumiwa jibu OK ili uanze kupokea matukio yote kwa sms, pia ungana na Millard Ayo kwenye Twitter, FB, Instagram na YouTUBE wa kubonyeza hapa >>> INSTAGRAM TWITTER FB YOUTUBE

VIDEO YA MAGOLI YA MECHI YA AZAM FC VS ESPERANCE, FULL TIME 2-1

Soma na hizi

Tupia Comments