Stori Pekee

Ubunifu mwingine kwenye majeneza ni huu mtu wangu !!

on

ndege

Sio kitu cha kawaida eti mtu kujichagulia jeneza ambalo litatumika kwa ajili ya mazishi yake akifariki.. lakini kuna stori ambazo zimekuwa zikiandikwa kuhusu baadhi ya watu kujichagulia kabisa, na kuna moja ilitokea Kenya wiki moja iliyopita ambapo mzee alijinunulia jeneza miaka mitano iliyopita, alipofariki walimzika nalo ikawa story kubwa sana,

gar

Kuna wataalamu Uingereza nao wameamua kufanya ubunifu wa aina hii ya majeneza ambayo kwa kuyaangalia yanavutia.

gar2

Kampuni ya Halliday Funeral Suppliers Ltd ni wasambazaji wa majeneza tangu mwaka 1979 na sasa wamekuja na staili mpya baada ya kubuni aina mbalimbali za majeneza.

gar3

Kampuni hii ina soko kubwa sana la huduma hii, wana wastani wa kuuza majeneza mpaka 300,000 kwa mwaka.

gar4

 

cup

 

Coffins

Richard-Halliday

Richard, Mkurugenzi wa Kampuni ya Halliday.. amesema lengo lao ni kumhudumia kila mteja na kile atakachovutiwa nacho. Mteja atapambiwa picha yoyote anayotaka iwe kwenye jeneza lake

Unahitaji chochote ninachokipata kisikupite? jiunge na mimi kwenye TwitterFacebook na Instagram kwa kubonyezahapa >>> Twitter Insta FB na nitakua nikikutumia kila ninachokipata pia usisahau kusubscribe YouTube kwa kubonyeza hapa >>>Videos ili kila video ya AyoTV ikufikie.

Soma na hizi

Tupia Comments