Duniani

Kulala kwenye jeneza eti inapunguza stress ??!! Cheki na hii ya Wakorea.. (+Video)

on

Moja ya nchi ambazo zinaongoza kwa watu wake kujiua Korea nayo ipo… zinatajwa sababu mbalimbali za watu kuamua kujiua ikiwemo ishu ya msongo wa mawazo au stress !!

Umewahi kupatwa msongo wa mawazo ??!! Ilipokutokea hali kama hiyo uliamua nini ?? Nakusogezea hii kutoka Korea Kusini ambako unaambiwa wao wameona moja ya mbinu poa za kupunguza stress ni kuingia ndani ya jeneza na kujifungia humo ndani kwa kama dakika kumi hivi alafu unatoka.

Video na story yake hii hapa toka Korea Kusini… unaambiwa hii ni moja ya njia za kuwafanya watu hasa wafanyakazi waone kama matatizo ni kitu cha kawaida kwenye maisha na kupunguza stress.

Unataka kutumiwa MSG za habari zote kubwa kutoka kwa Millard Ayo? ukiwa na line ya tiGO andika AYO’ tuma kwenda 15510, msg utayotumiwa jibu OK ili uanze kupokea matukio yote kwa sms, pia ungana na Millard Ayo kwenye Twitter, FB, Instagram na YouTUBE wa kubonyezahapa>>> INSTAGRAM TWITTER FB YOUTUBE

Soma na hizi

Tupia Comments